KOMBE LA DUNIA LATUA RASMI LEO JIJINI MWANZA NDANI YA CCM KIRUMBA
Ujio wa kombe la dunia jijini Mwanza uwe chachu na uhamsho wa soka jijini Mwanza na Tanzania kwa ujumla. Haya yanawezekana kama kila mtanzania atawajibika kwa hali na mali ili kuakikisha kandanda la bongo linakua. Tunampongeza raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwakuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuendeleza michezo nchini Tanzania.
1 comments:
TANZANIA YETU YENYE AMANI.
Post a Comment