SHUKURANI KWA WAJUMBE WOTE WA SHILIKISHO LA VIUO VIKUU TANZANIA
Ndg zangu na Marafiki zangu wote hasa wajumbe wa mkutano mkuu wa
shirikisho la vyuo vya Elimu ya juu Tanzania napenda kuchukua fursa hii
kuwashukuru sana kwa kuniona naweza kuwawakilisha wanafunzi wa wote wa
vyuo vya Tanzania bara na Zanzibar na kunichagua kuwa Mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM TAIFA(MNEC) na kuwawakilisheni ninyi wanafunzi
wote bila kujali chama gani unatoka, katika vikao vya maamuzi vya
kitaifa na kusimamia maslahi yote ya wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania.
Pia ndg viongozi wenzangu mmeniamini na kunipa nafasi kubwa sana ya kitaifa naomba kuwahakikisha kuwa nitawapa uwakilishi uliotukuka na uaminifu, weledi wa hali ya juu sanaa bila kujali chama cha mtu nitafanya kwa maslahi ya wanafunzi wote walioko vyuo vikuu.

Umoja wetu ndio ushindi wetu
Kwa pamoja tunaweza
By.
MH. JOHN LIPESI KAYOMBO(MNEC)
Kwa pamoja tunaweza
By.
MH. JOHN LIPESI KAYOMBO(MNEC)
0 comments:
Post a Comment