M/kiti uvccm(w)ilemela mwanza Comred kheri Denice James awataka vijana wa ccm wilayani ilemela kuisimamia vyema serikali ktk maeneo yao
0 comments
M/kiti uvccm(w)ilemela
mwanza Comred kheri Denice James awataka vijana wa ccm wilayani ilemela
kuisimamia vyema serikali ktk maeneo yao ili kuleta nafuu ya maisha tulio
iahidi kwa wananchi,komred kheri james kasema kuwa vijana wasipo kuwa makini
sasa kuisimamia na kuishauri serikali yao kwa kutumia njia na taratibu zilizo
wekwa na chama chetu kunauwezekano mkubwa wakukosa majibu ya maswali ya
wananchi na huo utakuwa mwanzo wa kupoteza imani ya wananchi kwa chama
chetu.komred kheri james ameyasema hayo leo hii wakati akizungumza na baraza la
vijana la uvccm kata ya Kayenze wilayani ilemela.Huu ni muendelezo wa ziara ya
mh.M/kiti na kamati ya utekelezaji ya wilaya ktk kukagua shughuli na uhai wa
jumuiya wilayani hapa.
Imetolewa na ofisi kuu
UVCCM(w)ilemela-Mwanza
Read More »