NEWZZZZ...........

THE VOICE OF UVCCM ILEMELA MWANZA
MWENYEKITI WA UVCCM ILEMELA COMRED KHERI .D. JAMES

WATIANIA WA UBUNGE KUPITIA CHAMA CHA CCM ILEMELA WAJITAMBURISHA KWA WANANCHI LEO















LEO 20/7/2015 NDIO SIKU YA WATIANIA YA UBUNGE KUPITIA TEKETI YA CHAMA TAWALA CCM JIMBO LA ILEMELA MWANZA WAMEANZA KAZI YA KUJITAMBURISHA KWA WANACHAMA CHAMA CHA CCM KWAKUNADI SERA ZAO NA NINI WATAFANYA ENDAPO WATAPA NAFASI YA KUWAKIRISHA CCM KATIKA JIMBO LA ILEMELA ,WATIANIA HAO LEO WATEMBELEA KATA MBILI KIRUMBA NA KITANGIRI.KESHO WATAENDELEA KUJITAMBULISHA KWA WANACHAMA WA CCM KWENYE KILA KATA KATIKA JIMBO LA ILEMELA MWANZA JUMLA YA WATIANIA NI 19.

0 comments: