LEO TUKUTANE STAR TV HOJA JUU YA HOJA SAA TATU NA NUSU USIKU LEO
Ndugu mwanachama na kiongozi mwenzangu ,kwa mara nyingine nimealikwa
kukiwakilisha chama chetu katika kipindi cha agenda 2015 kinacho rushwa na
kituo cha star tv saa tatu na nusu usiku wa leo. Mada kuu ni “je ni ipi faida
au hasara ya mgombea kujulikana mapema kabla ya uchaguzi?”katika kipindi hiki
ppia atakuwepo muwakilishi kutoka
chadema.Nawasihi wote mtakao kuwa na muda mkitazame kipindi hiki,lakini nitashukuru kama nitapokea
ushauri au hoja zitakazo nisaidia kuwa wakilisha vyema.Mbarikiwe sana.From
comred KHERI.D. JAMES M/kiti (w)ilemela-mwanza,na mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm Taifa.
0 comments:
Post a Comment