TAFAKARI KAULI ZAKO,MATENDO,MWENENDO NA MAHUSIANO
Ndugu viongozi na wanachama wenzangu,katika mwenendo wetu wa maisha na siasa,kuna watu wanajiunga na chama chetu kwa kauli zetu,matendo na mahusiano yetu,kama viongozi .Leo jitafakari ,je kauli zako ,matendo yako na mwenendo wako vinasaidia kuongeza wanachama au kupunguza wanachama?ukijua ukweli chukua hatua."wanamapinduzi mimi na wewe,kujisahihisha ndio msingi wa mapinduzi"from comred KHERI D JAMES M/kiti wa uvccm (w) ilemela mwanza,mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm Taifa.
0 comments:
Post a Comment