NEWZZZZ...........

THE VOICE OF UVCCM ILEMELA MWANZA
MWENYEKITI WA UVCCM ILEMELA COMRED KHERI .D. JAMES

UJIO WA KOMBE LA DUNIA NA RAISI KIKWETE KATIKA WILAYA YA ILEMELA MWANZA.

Siku ya leo tarehe 29/11/2013 kuanzia majira ya saa 4 asubuhi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi taifa, Amiri Jeshi Mkuu na raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atajumuika pamoja na watanzania wengine katika uwanja wa CCM kirumba kulishuhudia kombe la dunia litakalo tua rasmi kesho wilayani ILEMELA MWANZA na kushuhudiwa na watanzania wote hasa wadau wa michezo. Katika uwanja huo "mafanikio ya michezo yanaanza na mimi,pamoja na wewe". Hivyo basi wananchi wote mnaalikwa mjitokeze kwa wingi kuja kushuhudia tukio hilo la kihistoria katika jiji la MWANZA.