NEWZZZZ...........

THE VOICE OF UVCCM ILEMELA MWANZA
MWENYEKITI WA UVCCM ILEMELA COMRED KHERI .D. JAMES

ALITAMANI SANA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO NA KUWEKEZA KATIKA BARA LA AFRIKA

   
Nimuigizaji mashuhuri na nyota wa hollywood Paul Walker, amefariki dunia kwa ajari mbaya ya gari iliotokea jana Valencia, Los Angles. Walker alishiriki vizuri katika filam ya FAST and FARIOUS iliotamba pande zote za dunia. Alikutwa na mauti hayo alipokua akienda kuhudhuria hafla moja ya taasisi yake binafsi inayo jiusisha na mambo ya kusaidia watu wasio jiweza na wanao ishi katika mazingira magumu kote dunia hasa kwa bara la Afrika. Paul Walker sikumoja alitamani sana kuupanda mlima Kilimanjaro napia kuwekeza kwa nchi za Afrika ili kukuza wigo wa ajira. Kwa bahati nzuri/mbaya amepatwa na mauti hayo alipo kuwa katika utekelezaji wake wa kusaidia watu maskini kote duniani. Sisi kama vijana wa Tanzania wema tunaopenda maendeleo ya nchi yatu na bara letu kwa ujumla hatunabudi kumkumbuka kaka yetu Paul Walker aliekua na ndoto nzuri za bara letu la Afrika. R.I.P brother!


0 comments: