PENYE UKWELI LAZIMA HAKI ISIMAME. MUNGU AMESIMAMA PAMOJA NA ZITTO. WABAYA WAKE WABAKI MIDOMO WAZI.
Siku zote kila penye haki lazima
ukweli usimame, hatakama utabatilisha vipi. Sisi hatuingilii mambo yenu ila tuna
waonea huruma kwa jinsi mnavyo wayumbisha watanzania. Siku ya jana watanzania
wote waliona jinsi Mungu alivyo mwema kwa watu wake wema. Hii ni pale Mungu
muweza wa yote alivyosimama upande wa Zitto Kabwe na kuwaacha watu wabaya wasio
penda kuambiwa ukweli wakitoa macho huku wakitoa lawama zisizo na msingi. Kwa
bahati mbaya watu wanasahau kuwa chama sio viongozi bali chama ni wanachama
wanaotokana na kiongozi Fulani!
0 comments:
Post a Comment