NEWZZZZ...........

THE VOICE OF UVCCM ILEMELA MWANZA
MWENYEKITI WA UVCCM ILEMELA COMRED KHERI .D. JAMES

HUYU NDIO MEYA WA KWANZA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILEMELA

Huyu ndie meya wetu wa kwanza kabisa wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela. Mstahiki Meya Henry Matata diwani wa kata ya Kitangiri, ndie meya wa kwanza kabisa kuiongoza halmashauri ya manispaa ya Ilemela. Nikiongozi mtiifu, muwajibikaji, anae sikiliza ushauri wa watu wote, muadilifu na mchapakazi hodari asiyependa kuona mtu wa chini akikandamizwa na mtu wa juu. Ni kiongozi asiependa kudanganya wananchi wake, yeye siku zote huongea kwa vitendo nasio kwa maneno bila vitendo. Siku zote amekua mstari wa mbele kuakikisha wananchi wote wanapata huduma za msingi wanazotakiwa kuzipata kutoka kwa serikali yao sikivu ya chama cha mapinduzi. Mpaka sasa akiwa diwani wa kata ya Kitangiri amefanikiwa kuondoa kero za wananchi wa kata yake kwa kiwango kikubwa sana. Mr.Henry Matata anakila sababu zakupewa heshima  ya kuwa meya wa kwanza wa halmashuri ya manispaa ya Ilemela.

0 comments: