MATUNDA YA UVCCM YAZIDI KUKOMAA
Chama cha mapinduzi ndio chama kinachowapika na kuwaandaa viongozi walio bora na wawajibikaji kwa wananchi wao. Mjumbe wa kamati kuu ya CCM taifa napia ni meya wa halmashauri ya Ilala Ndg. Jerry Slaa (katikati) ni miongoni mwa matunda bora yanayo tayarishwa vizuri na chama cha mapinduzi kwa ajiri ya kua viongozi bora wa watanzania. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ilemela kupitia M/kiti wao wa wilaya wapo bega kwa bega kushirikiana naye ili kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi.
0 comments:
Post a Comment