HII NI MIONGONI MWA ZAWADI KUBWA KWA ILEMELA KUTOKA CCM (2010-2015). MAMBO MENGINE MENGI ZAIDI YANAFUATA.
Ujenzi wa soko kubwa la kimataifa
linalojengwa katika eneo la Ghana katika wilaya ya Ilemela, upo katika sehemu
za mwishomwisho kumalizika. Soko hilio amabalo linatalajiwa kuwa soko kubwa kuliko yote hapa Afrika ya Mashariki linajengwa na mainjinia kutoka
nchi ya China na wapo katika atua ya mwisho kukamilisha na litazinduliwa rasmi
miezi michache ajayo. Soko hilo la kimataifa litakalo ziunganisha nchi za
Afrika mashariki na kati lipo katika barabara ya Makongoro inayoenda uwanja wa
ndege na uwanja wa mpira wa CCM Kirumba. Hizi zote ni miongoni mwa juhudi
mbalimbali zinazo fanywa na serikali ya Chama Cha Mapinduzi katika kuhakikisha
inaleta maendeleo kwa wanachi wake.
BILA YA CHAMA CHA MAPINDUZI NCHI YETU ITAYUMBA
0 comments:
Post a Comment