Katika jitihada ya
kumpunguzia mzigo wa kodi mwananchi wa Tanzania, Mh. Raisi wa Jamuhuri ya
Tanzania Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete amesaini hati ya dharura kuliandikia Bunge
la jamuhuri ya muungano wa Tanzania kuzuia tozo ya laini ya simu ilio kuwa
imepitishwa na Bunge hilo. Kwa maamuzi hayo ya Raisi wetu mpendwa, hakuna
mwananchi atakae tozwa kodi/tozo kwa laini yeyote ya simu. Niwajibu wetu
kumpongeza Raisi wetu kwa maamuzi haya yamsingi kwa ajiri ya kumsadia mwananchi
wa hali ya nchini.
THANK YOU
PRESDENT KIKWETE!
0 comments:
Post a Comment