HIVI NDIVYO WALIVYOKUA WAKIPANGA MAMBO YAO BILA KUVUNJA AMANI
Hebu
leo tukumbuke tulipotoka ata tunapo kwenda. Hawa ni miongoni mwa wazee wetu
walio tutangulia wakikusanyana kwa pamoja kujadili mstakabadhi mzima wan chi yetu
Tanzania. Kwa upendo na umoja walishirikiana na kukubaliana bila kuzingatia
anaye ongea anatoka dini gani au kabila gani. Kwakuzingatia hayo nchi
yetu ilitawalika kwa amani na upendo bila vita wala maandamano. Hawa wote
walijua thamani ya utu wao na utaifa wao. Kila mmoja alikubali kukoselewa alipo
kosea na kuatayari kujirekebisha. Kwa hakika amani ilikuepo ya kutosha na taifa
lilitawalika kwa amani safi. Ilipendeza sana jinsi watanzania wazamani au wazee
wetu walivyo ishi na kuheshimu serikali yao.
Leo
watanzania wengi wasio jua utaifa wao wala umuhim wao katika mstakabadhi mzima
wataifa lao ndio wamekua wakitumiwa kama vyambo katika kuanzisha vurugu na uvunjifu wa amani katika
taifa letu. Nivikundi vya watu furani vinavyo ongozwa na watu furani hivi
ndivyo vinavyo taka kuvuruga amani tulio nayo kwa ajiri ya kutaka kushika nchi.
Je kama hawa wazee wetu wote wangetaka kushika dora kwa njia wanayo taka
kutumia baadhi ya watu yani Udini na Ukabila Tanzania yetu ingekua hivi
ilivyo leoo?
Hatuwezi
kusema tunamuenzi Mwalim Nyerere wakati amani yetu tulioitunza kwa muda mrefu
ipo hatarini kutoweka. Nilazima tujifunze sisi wenyewe na kuvifundisha vizazi
vyetu mambo yote mema na matamu ya nchi yetu tulio rithi kutoka kwa wazee wetu.
Kama wao waliweza kwa nini sisi tushindwe?
Ni chama
kimoja tu kisichokua na ukabila wala udini hapa Tanzania, ambacho kimeitunza na
kuilinda amani ya Tanzania, nacho ni Chama Cha
Mapinduzi. Vyama vyote vinaongea na kushawishi watu wote wengi
kujiunga kwao lakini havina mpango wa kulinda na kuitunza amani ya nchi yetu
kwani wapo tayari kuona mtu anakufa au damu ya watanzania wanyoge ikimwagika ila
tu wao washike dora. Lakini CCM
ndio chama kincho linda uhai wa watanzania wote maskini kwa matajiri. Tukipede
chama chetu cha CCM, tukiamini napia
tukilinde ili kizidi kutawala na kulinda amani tulionayo.
0 comments:
Post a Comment