KWA HILI LAZIMA MSAMBAE, HAPO HAPAPITIKI!!
Siku zote kila muwamba ngoma lazima avutie kwake na mkaidi hua hafaidi mpaka siku ya idda. Haya tunayaona nakuyathibitisha kwa wenzetu wa kaskazini wanaojifanya kwamba kitu faida na hasara au madhara yanayotokana na kitu fulani hawayaoni. Wakati serikali sikivu ya chama cha mapinduzi ikiendelea kulia na swala la udini na ukabila, kuna watu wao wanachochea sera ya ukabila katika siasa. Kwahili hakuna mchawi jamani wachawi ni nyie wenyewe mnaodumisha mila na jadi za kikabila. Kama kweli mnaipeda nchi yenu na watu wenu kwanini ukabila tena mnaupa nafasi?
Kwetu sisi hatushangai kuona mambo kama haya kwa sababu nyie sio wa kwanza, wapo walioanza na ukabila kama nyinyi mwisho wasiku wamebakia kuhama hama na kua na muwakilishi mmoja bungeni. Wakaja wengine tena, hawa sasa wakaja na udini wa nje nje, watu wakawaelewa wakawakataa sasaivi wamebaki kulandalanda na kujikinga kwa watu wengine. Baadae mmekuja nyinyi tena, sisi tukajua labda mmekuja na jipya la kutuambia tukakaa chini kuwasikiliza kumbe mnakaukabila ambako mmekaficha na sasa mmeamua kukatoa wazi na tumewaelewa vizuri. Siasa ni ushawishi wamaneno na vitendo kwa wanainchi nasio ushawishi wa udini na ukabala. Noja tuone kama hapo mtapita salama. Kumbukeni mnakoenda ndio mwisho wenu.

0 comments:
Post a Comment