KAMA CHADEMA ILIVYOANZA NDIVYO ITAKAVYO ISHA. WAJANJA WASHTUKIA. WAANZA KURUDI NYUMBANI (CCM)
Hili nafikiri ni jambo la ajabu sana na ni uzuni mkubwa kwa watu wa
chadema. Mkutano mkubwa wa katibu mkuu wa chadema wazidi kutoa picha ya nini
kinaendelea ndani ya chama hicho! Kama kiongozi mkubwa kama huyu ambaye aliisha
zoea kupata watu zaidi ya maelfu leo hii anapata watu wakuhesabu kama picha
inavyo onyesha pia hii inatokana na jinsi watu wanavyo zidi kujua ukweli wa
mambo ambayo yalikuwa yamefichwa. Kweli hali ya washindani wetu sio nzuri!
TUNAWASHUKURU SANA NDUGU WANA NCHI KWA KUZIDI KUJUA UKWELI WA MAMBO.
SISI HATUNA UKABILA WALA UDINI
0 comments:
Post a Comment