RAISI KIKWETE NIMWEMA. ALIWAI KUZUIA MSAFARA WAKE ILI AONGEE NA MTOTO MDOGO. NI RAISI WA WATU WA AINA ZOTE.
Upendo alionao Raisi wetu ni waajabu sana kwani haubagui rangi, umri,
kabila wala dini. Huyu ndiye kiongozi mzuri na mwenye busara kwa watu wote.
Pamoja na matusi anayotukanwa na kutupiwa na watu wabaya wasiokuwa na nia nzuri
na taifa letu yeye bado hujifanya hawaoni na hawasikii kabisa.
Tunakuombea kwa Mungu Raisi wetu Jakaya Mrisho Kikwete uzidi kuwa na moyo
huo huo wa kusaidia watu wa aina zote.
0 comments:
Post a Comment