NEWZZZZ...........

THE VOICE OF UVCCM ILEMELA MWANZA
MWENYEKITI WA UVCCM ILEMELA COMRED KHERI .D. JAMES

WANANCHI WAICHARUKIA CHADEMA!! WAWAFICHUA MAFISADI CHADEMA!!


SISI TUMETAFSIRI TU YALIYO ANDIKWA HAPO JUU!!
MTEI: Huyu ndiye mzee mwenye chama aliye toka ccm miaka mingi iliyopita kwa sababu ya kujishtukia.
MBOWE: Huyu ni mototo wa ubatizo wa mzee Mtei ndio maana anaona chama ni cha baba yake.
SLAA: Huyu yeye ni mgeni katika chama kwahiyo mda wowote anaweza kufukuzwa akarudi kwao.
LISU: Huyu yupo kimaslai ndani ya nyumba. Anacho kifanya yeye ni kufuata upepo na hana maamuzi.
LEMA: Huyu haaaa!! haaaa!! hatuna la kusema. Kweli huyu ni Mini Kabang. Si mnajua maana yake?
SISI HATUNA LA KUSEMA HAPO. CCM OYEEEEEEEEEEEE!!!!

0 comments: